Meja Jenerali Michael Isamuhyo akitembelea na kuoneshwa eneo la
vitalu A mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani wilaya ya
Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017, tayari kwa kuanza kazi
ya kujenga uzio kuzunguka eneo hilo kufuatia amri ya Rais Dkt John Pombe
Magufuli aliyotoa jana ili kudhibiti biashara ya madini hayo
yanayopatikana Tanzania pekee. Picha na mpiga picha wetu
Helkopta
iliyombeba Meja Jenerali Michael Isamuhyo ikitua katika uwanja wa wazi
wa Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara tayari kwa kukagua eneo
litakalojengwa uzio kuzunguka kitalu A hadi D katika eneo la Madini la
Tanzanite Mererani ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Pombe
Magufuli
Meja Jenerali Michael Isamuhyo
akisalimiana na viongozi wa Wilaya ya Simanjiro na wananchi mara baada
ya kutua katika uwanja wa wazi wa Mererani, Wilaya ya Simanjiro Mkoani
Manyara tayari kwa kukagua eneo litakalojengwa uzio kuzunguka kitalu A
hadi D katika eneo la Madini la Tanzanite Mererani ikiwa ni utekelezaji
wa agizo la Rais Dkt. John Pombe Magufuli
Meja
Jenerali Michael Isamuhyo akitembelea na kuoneshwa eneo la vitalu A
mpaka D katika eneo la machimbo ya Tanzanite Mererani wilaya ya
Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 21, 2017, tayari kwa kuanza kazi
ya kujenga uzio kuzunguka eneo hilo kufuatia amri ya Rais Dkt John Pombe
Magufuli aliyotoa jana ili kudhibiti biashara ya madini hayo
yanayopatikana Tanzania pekee. Picha na mpiga picha wetu
Meja Jenerali Michael Isamuhyo ikipenya kwenye vichaka wakati wa kukagua eneo litakalojengwa ukuta.