Picha: Waziri wa Madini akutana na Rais wa kampuni ya Amtec Resources ya Uingereza
Waziri wa Madini Doto Biteko amekutana na Rais wa Kampuni ya Amtec Resources Management Ltd ya nchini Uingereza Dkt. Peter Gollmer, ambaye amemweleza Waziri Biteko kuhusu ujio wa kampuni zipatazo 3 kutoka Mataifa mbalimbali zenye nia ya kuwekeza katika sekta ya madini nchini.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2EUOAIi



No comments