Breaking News

Iran: Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa pombe yaongezeka

Iran, Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa pombe  kwa wingi wakiwa na imani  ya kukinga dhidi ya corona yazidi kuongezeka.

Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa pombe nyingi hadi kuwa sumu  wakiwa na imani kuwa ni kinga dhidi ya virusi vua corona imezidi kuongezeka.

Idadi hiyo imeripotiwa kufikia watu  320.

Msemaji wa wizara ya afya wa Iran Kiyanush Cihanpur  kupitia kituo cha habari cha Fars alipokuwa akihojiwa kwa njia ya video, amesema kuwa watu  zaidi ta 3 117 wamelazwa hospitali tangu Machi 6   baada ya kunywa pombe kwa wingi wakiwa na imani kuwa ni kingi dhidi ya virusi vya Covid-19.

73 miongoni walilazwa katika chumba laamulu kwa ajili ya tiba maalumu.

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2wPJxZX

No comments