Mbunge Kishimba- Tutumie gongo kunawia mikono kujikinga na corona
"Tunamuomba Waziri wa Afya, kwa kuwa wananchi wetu hawawezi kununua hizi sabuni ambazo zina alcohol 65% atamke basi wananchi kwa muda huu wa dharura wanaweza kunawia gongo ili kuzuia corona, hii sanitizer ina alcohol 65% na gongo ina alcohol 55%”_ Jumanne Kishimba, Mbunge Kahama Mjini
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/39RKhee
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/39RKhee

No comments