Ujerumani: Hospitali yafungwa baada ya kugunduliwa bomu lenye uzito wa kilo 250
Nchini Ujerumani hospitali yafungwa baada ya kugunduliwa bomu lenye uzito wa kilo 250.
Vyombo vya habari nchini Ujerumani vimefahamisha kuwa wagonjwa 213 wakiwemo 69 waliokuwa katika matibabu maalumu wamepelekwa katika hospitali nyingine mjini humo.
Miongoni mwa wagonjwa wamo ambao waliogunduliwa wakiwa na virusi vya corona.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2UDKEVz
Bomu lenye uzito wa kilo 250 lagundliwa katika hospitlai moja nchini Ujerumani, bomu hilo kulinga na taarifa iliotolewa kabla ya uchunguzi, bomu hilo ni miongoni mwa silaha ambazo zilitumiwa katika vta vya pili vya dunia.
Bomu hilo limegunduliwa wakati wakiendelea ujenzi karibu na chuo kikuu cha hospitali hiyo mjini Bonn Rhenania-of-North Wesphalia.
Miongoni mwa wagonjwa wamo ambao waliogunduliwa wakiwa na virusi vya corona.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2UDKEVz

No comments