Breaking News

VIDEO: Aggrey Mwanri akemea vikali ugonjwa wa corona




viongozi wa Madhebu ya Dini mkoani Tabora wameiomba Serikali kuwachukulia hatua za kisheria na kutowaone aibu Watu wote wanafanya mzaha na wanaotafuta umaarufu kupitia janga la ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaoenezwa na kirusi kipya aina ya Corona Covid-19.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE



from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3aH9bOS

No comments