Breaking News

VIDEO: Dakika za lala salama katika la samunge,Mrisho Gambo ahitimisha


Zoezi lilioanzishwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo linaelekea katika dakika za lala salama kutokana na kusimamia vyema zoezi la ujenzi wa soko liloloteketea kwa moto na huenda mpaka wiki ijayo bidhaa zitaanza kuuzwa na matumaini kurejea huku akiwataka wamachinga kutaja wale wote ambao hawahusiki katika eneo hilo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE



from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/39P1ghj

No comments