Breaking News

VIDEO: Walemavu wa ngozi watoa mazito kuhusu waajiri


Waajiri wametakiwa kuachana na dhana potofu   ya kuwanyanyapa watu wenye ulemavu  wakati wa kutoa ajira  ili jamii hiyo iweze kujitegemea na kuachana kuwa tegemezi kwani nao wanaweza kufanya kazi kama watu wengine.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KU SUBSCRIBE



from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/348033F

No comments