Wakuu wa mikoa, wilaya marufuku kutoa taarifa za corona- Waziri Mkuu
“Natambua mchango wa kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB), juu ya watu kutoa taarifa (za ugonjwa wa Corona) kiholela. Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya kila mmoja anatamka anavyotaka.
Taarifa zote za ugonjwa huu zitatolewa na Waziri wa Afya, kama ni łazima atatoa Waziri Mkuu, kama ni lazima sana atatoa Makamu wa Rais au Rais mwenyewe. Tutasimamia hili ili tuondoe utamkaji holela wa kila mmoja kadri anavyojisikia”
Kauli ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihitimisha hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2020/2021 ambayo imepitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2UNknE6

No comments