Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi nchini China (Diaspora) kwenyemkutano uliofanyika Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.
Rais Samia akutana na kuzungumza na Watanzania wanaoishi China (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika Jijini Beijing
Reviewed by Tanzania Yetu
on
September 06, 2024
Rating: 5
No comments