Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Januari 20, 2025 amekutana na wajumbe wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu akutana na Wajumbe wa Tume ya Rais ya marekebisho ya Kodi
byTanzania Yetu
-
0



