๐Ÿจ๐Ÿ”ฅ WANDAMAN HOTEL – HADHI MPYA SHINYANGA MJINI ๐ŸŒŸ


Karibu WANDAMAN HOTEL – mfalme mpya wa huduma bora mjini Shinyanga.

Tupo Mwasele– Shinyanga Mjini, mkabala na Musoma Food, tukikuletea uzoefu wa kipekee wa mapumziko, mikutano na malazi ya hadhi ya juu katika mazingira tulivu, safi na ya kisasa.

Huduma Zetu Kuu:

๐Ÿ›️ Vyumba vya kulala vya kisasa, safi na vyenye hadhi
๐Ÿฝ️ Huduma bora na ladha ya kipekee ya vyakula
๐ŸŒณ Mandhari ya kuvutia, hewa safi na mazingira tulivu (tumezungukwa na miti)
๐Ÿค Wahudumu wakarimu, waaminifu na wenye weledi wa hali ya juu
๐Ÿง‘‍๐Ÿ’ผ Vyumba vya Executive kwa mikutano na vikao maalum
๐Ÿข Kumbi za mikutano kwa semina, warsha na mikusanyiko mbalimbali

๐Ÿ“ Mahali: Mwasele – Shinyanga Mjini
๐Ÿ‘‰ Mkabala na Musoma Food

๐Ÿ’ผ Iwe ni kwa mkutano wa kikazi, safari, mapumziko binafsi au kuwahudumia wageni wako muhimu,
WANDAMAN HOTEL NDIO CHAGUO SAHIHI!

๐Ÿ“ž Mawasiliano Yetu:
๐Ÿ“Œ Street: Mwasele
๐Ÿ“Œ Block No. 533

☎️ Simu:
+255 770 601 666
0757 281 271
0672 166 342
0754 484 965

๐Ÿ“ง E-mail: wandamanhoteltz@gmail.com
๐Ÿ“ธ Instagram: wandamanhotel
๐Ÿ“˜ Facebook: Wandaman Hotel

WANDAMAN HOTEL – Hadhi, Utulivu na Huduma Bora.








































from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/sG5OE3z

Post a Comment

Previous Post Next Post