MWENYEKITI SENETI MKOA WA IRINGA AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI YA URATIBU


Mwenyekiti wa Seneti Mkoa wa Iringa Joseph Masaniro George, Ameongoza Kikao Maalumu cha Kamati ya Uratibu Seneti Mkoa wa Iringa, Kilichofanyika tarehe 01 Septemba 2026 , Ukumbi wa Nyerere Ofisi za CCM mkoa Wa Iringa kikao chenye lengo la Kujadili Masuala Mbalimbali yanayohusu Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndani ya Mkoa wa Iringa.







from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/ioZKMJs

Post a Comment

Previous Post Next Post