Kutoka miradi mikubwa ya umeme, huduma za kidijitali, Pika kwa umeme, Endesha kwa umeme, Kila Kaya Itawaka na tunaendelea kuboresha zaidi.
Lakini safari bado inaendelea… 👀
Jumanne, tunakwenda hatua nyingine zaidi.
Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2026.
#TANESCOGoingtheExtra Mile #CustomerServiceWeek2026
