MRADI WA UMEME MALAGARASI KUCHOCHEA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII MAGHARIBI MWA TANZANIA

 

TANESCO inaendelea na utekelezaji wa Mradi wa Kufua Umeme kwa Maji wa Malagarasi, mkoani Kigoma, wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 49.5.

Mradi huo utakapokamilika, utaimarisha upatikanaji wa umeme wa uhakika katika mkoa wa Kigoma na mikoa ya Magharibi mwa Tanzania, kuongeza fursa za uwekezaji, kukuza shughuli za uzalishaji na kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Post a Comment

Previous Post Next Post