| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale
akitoa maelezo ya mradi wakati wa hafla
ya uwekaji jiwe la Msingi la Ujenzi wa Upanuzi wa barabara ya Morogoro
Kuanzia Kimara hadi Kibaha yenye Urefu wa Kilometa 19.2 |