RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOMJULIA HALI MAMA YAKE MZAZI I ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM.


RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOKWENDA KUMJULIA HALI MAMA YAKE MZAZI  BIBI. SUZANA MAGUFULI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM.





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wasaidizi wake wakimuombea Mama yake Mzazi Bibi. Suzana Magufuli anayepatiwa Matibabu  Jijini Dar es Salaam. Desemba 30, 2018. Bibi Suzana Magufuli anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi ambapo amekuwa akipatiwa matibabu kwa takribani miezi mitatu sasa.


PICHA NA IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post