Klabu ya Tottenham imekubali kupokea ofa ya £9m kutoka klabu ya Beijing Sinobo Guoan ya China kwaajili ya kiungo wao Mousa Dembele.
Dembele ambaye anaumri wa miaka 31 anamaliza mkataba wake na Tottenham mwishoni mwa msimu huu hivyo anaruhusiwa kufanya mazungumzo na vilabu vingine vinavyomuhitaji.
from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2H0blir

Tags
News