Misri kuandaa michuano ya AFCON 2019

Nchi ya Misri imepata nafasi ya kuwa wenyeji wa mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika yatakayoanza Juni 15 hadi Julai 13.

Hii ni baada ya muandaaji wa mwanzo Cameroon kunyang'anywa nafasi hiyo kutokana na uchelewaji katika maandalizi.

Misri ina miezi sita ya kujiandaa kwaajili ya fainali hizo ziatakanzo anza mwezi Juni.

Ikumbukwe kuwa hii itakua ni mara ya 5 kwa Misri kupata nafasi ya kuwa wenyeji wa mashindano hayo ambapo mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2006.

from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2RDxpU1

Post a Comment

Previous Post Next Post