Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imetupilia mbali kesi ya kutaka mapitio ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao
byTanzania Yetu-
0
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara leo imetupilia mbali kesi ya kutaka mapitio ya Kanuni za Maudhui ya Kimtandao iliyofunguliwa na LHRC, MCT na Muungano wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu.