Klabu ya soka ya Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara wametangaza viingilio vya mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya JS Saoura ya Algeria ambao utachezwa Jumamosi ya January 12, 2019. Manara ametangaza viingilio hivyo ni shilingi 5,000 kwa mzunguko na 10,000 kwa VIP B, pia kuna tiketi za shilingi laki moja ambazo zimapewa jina la Platnumz.
TAZAM FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2H0btyr
Tags
News

