Breaking News

Jibu la Mbosso kuhusu kujiunga Kings Music


Msanii wa Muziki kutoka lebo ya WCB, Mbosso amefunguka kama anaweza kujiunga na lebo ya Kings Music ya Alikiba.

Mbosso ameiambia Azam Tv kuwa hawezi kutoka kwenye lebo yake kwasababu kuna kila kitu anachokipata

"Siwezi kwenda kwasababu niko kwenye Management ambayo naona napata ninacho hitaji kukipata. Kuna upendo ambao umepitiliza ndani yake WCB," alisema Mbosso.




from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2VvdZzb

No comments