Picha: Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. Mwinyimvua atoa pongezi kwa Tanesco
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua amewapongeza wataalamu wa
Shirika la Umeme Nchini TANESCO kwa kazi kubwa wanayofanya ya kuhakikisha Umeme
unawafikia wateja licha ya changamoto ambazo zinawakabili.
Dkt. Mwinyimvua ametoa pongezi hizo wakati alipotembelea Vituo vya kufua Umeme wa gesi vya Ubungo I, Ubungo II, Songas
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2GP5MSR
No comments