Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL) inatarajiwa kutimua vumbi tena leo ambapo Mbeya City itavaana na Singida United. Chini ni ratiba ya michezo ya leo iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2BT4VMW
No comments