Waziri wa Habari, Harrison Mwakyembe amelielekeza Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini kumchukulia hatua Msanii Dudu Baya kwa kumdhihaki Marehemu Ruge Mutahaba.
Tangu kutokea kwa taarifa za kifo cha Ruge jana, Dudubaya amekuwa akitoa maneno mtandaoni kumdhihaki Ruge akimtuhumu kuwa enzi za uhai wake alikuwa mnyonyaji wa wasanii.
Dudubaya amepost vipande vya video katika mtandao wa Instagram akimdhihaki Marehemu Ruge
WAZIRI MWAKYEMBE AAGIZA DUDUBAYA ACHUKULIWE HATUA KWA KUMDHIHAKI MAREHEMU RUGE
Reviewed by Tanzania Yetu
on
February 27, 2019
Rating: 5
No comments