Peter wa P Square mbioni kukamilisha studio yake
Staa wa muziki kutoka Nigeria, Peter wa P Square ameonesha maendeleo ya Studio yake mpya.
Peter aliahidi ujio wa nyimbo nyingi zaidi baada ya kukamilika kwa studio yake hiyo.
Peter anafanya vizuri na wimbo ‘One More Night’ unaoendelea kuvuma kwenye mtandao wa YouTube ndani na nje ya Afrika.
from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2L3tzRV
No comments