VIDEO: Vituko vya RC Gambo na RPC wakisaidia ujenzi
Uongozi wa Mkoa wa Arusha umeeleza azma yake ya kuhakikisha mpango wa kujenga makazi bora yanayojitosheleza kwa Askari Polisi unafanikiwa na kwa sasa kunatekelezwa mradi wa Ujenzi wa baadhi ya Nyumba hizo kwenye eneo la Njiro Mkoani humo.
Tangu nyumba za makazi ya askari polisi zilizopo Kituo Kikuu cha Polisi mjini Arusha kuungua kwa moto mnamo September mwaka 2017 Serikali imekamilisha Ujenzi wa Nyumba 13 za awamu ya kwanza zenye wastani wa kuchukua Watu 155.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE
from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2VvCr6Y
No comments