Vifo kutokana na maporomoko ya ardhi na mafuriko vyaongezeka Kenya
Watu 30 zaidi wamepoteza maisha katika mafuriko na maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa nchini Kenya.
Ikiwa ni wiki tatu ya mvua kubwa nchini humo,idadi ya vifo imefikia 194 na watu zaidi ya elfu 100 wameyahama makazi yao.
Utabiri wa hali ya hewa umetangaza kuwa mvua kubwa zitaendelea hadi mwisho wa mwezi Mei.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3dvBv7R
No comments