Wanajeshi wa Marekani ambaye anafanya kazi Ikulu akutwa na virusi vya corona
Mmoja wa Wanajeshi wa Marekani ambaye anafanya kazi Ikulu ya Nchi hiyo(White House) amebainika kuwa na corona, Mwanajeshi huyo Mwanaume ni miongoni mwa wasaidizi wa Rais Trump Ikulu ambao wanashughulika na usalama wa chakula cha Trump na Familia yake na huwa wanasafiri na Trump, kufuatia hatua hii Trump na Makamu wa Rais wamelazimika kupima tena corona kwa mara nyingne.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2SL3yZi
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2SL3yZi
No comments