Breaking News

Anna Lupembe Wa CCM Ashinda Ubunge Jimbo la Nsimbo, Katavi


 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Nsimbo, Mohamed Ramadhani, amemtangaza Ana Lupembe wa CCM kuwa mshindi wa kiti cha ubunge jimbo hilo kwa kupata kura 38,346, akifuatiwa na Philipo Malaki wa ACT Wazalendo ambaye amepata kura 1292.

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/35Iph9Z

No comments