George Mkuchika Ashinda Ubunge Newala Mjini
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Newala Mjini, Mkoani Mtwara amemtangaza Kapteni Mstaafu, George Huruma Mkuchika wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 18,705 akifuatiwa na Issa Juma Chilindima wa Chadema ambaye amepata kura 12,546.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/35ISdhR
No comments