Breaking News

Mabalozi wa Ubelgiji na Cambodia wamkabidhi Rais Erdoğan barua ya uaminifu



Viongozi hao walikutana katika makao makuu ya rais ambapo balozi Huynen alimkabidhi Rais Erdoğan barua ya uaminifu.

Baadaye Huynen, mkewe na wawakilishi wengine wa ubalozini walijumuika pamoja na Rais Erdoğan kwa ajili ya picha ya ukumbusho.

Wakati huo huo, Rais Erdoğan pia alimkaribisha balozi wa Cambodia mjini Ankara Meas Kim Heng.

Viongozi hao walikutana kwenye makao makuu ya rais ambapo balozi Heng alimkabidhi rais Erdoğan barua ya uaminifu.

Baadaye Heng, mkewe na baadhi ya wawakilishi wa ubalozini walijumuika pamoja na Rais Erdoğan kwa ajili ya picha ya ukumbusho. 




from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/329soa3

No comments