Breaking News

Selemani Jafo aibuka kidedea jimbo la kisarawe

 


Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la kisarawe Ndugu Mussa Gama ametangaza matokeo ya Uchaguzi.


Wapiga kura walio andikishwa ni 82,735


Walio piga kura ni 32,646


Kura Halali ni 31,971


Kura  zilizokataliwa ni 675


Walioshiriki Wagombea


1. SELEMANI JAFO CCM Alama 2,6739


2. Asha Chuma DP Alama 175


3. BARAKA NANDONDE CHADEMA Alama 2,402


4. ZAVALA MUSSA ACT wazalendo Alama 616


5. KHADIJA DIKULUMBALE CUF Alama 2,039


Hata Hivyo Chama cha Mapinduzi CCM Kimeshinda kata 17 zote za Halmashauri ya Wilaya Kisarawe 






from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3jOPSY1

No comments