Breaking News

WAANDISHI WA HABARI SHINYANGA NA MWANZA WATEMBELEA UWANJA WA NDEGE IBADAKULI- SHINYANGA


Waandishi wa habari mikoa ya Shinyanga na Mwanza wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Mei 3,2025 wametembelea maendeleo ya mradi ukarabati na upanuzi wa uwanja wa Ndege wa Ibadakuli Mkoani Shinyanga - Picha na Kadama Malunde


from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/fudHNgl

No comments