ADONIS BITEGEKO ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MULEBA KASIKAZINI
Ndugu Adonis Bitegeko aliyeteuliwa na Halmashauri kuu ya Ccm ( NEC) kugombea Ubunge Jimbo la Muleba Kasikazini.
Na Mariam Kagenda _Kagera
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) Taifa imemteua Ndg Adonis Bitegeko kugombea Ubunge katika Jimbo la Muleba Kasikazini katika Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Octoba 2025
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/i6BVxU8
No comments