Tanesco yawakumbusha wateja kutumia umeme wa nishati safi msimu wa Sikukuu

Na Mwandishi wetu
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco imewakumbusha wateja wake katika msimu wa sikukuu kwa kupikabkwa kutumia umeme wa nishati safi na salama
Imesema kutumia umeme huo unaokoa muda jikoni,utalinda afya ya mtumiaji na ni kwa gharama nafuu.
Vyakula vyote vya sikukuu vinaweza kupikwa kwa chini ya unit 1 tu ya umeme ambayo ni sawa na shilingi 356 tu!

No comments