Breaking News

SASA NI BOSI WA MADINI BAADA YA KUAMBIWA NYOTA YAKE HAIPO POSTA!


Naitwa Elias, mkazi wa zamani wa maeneo ya Posta, jijini Dar es Salaam. Kwa zaidi ya miaka minane, nilikuwa nikijishughulisha na ufundi wa simu na kuuza vifaa vidogo vidogo pembezoni mwa barabara. Licha ya kuwa na utaalamu wa hali ya juu, maisha yangu yalikuwa ni dhoruba tupu.

Nilikuwa nafika kazini asubuhi na mapema, lakini jua lilikuwa linazama bila mteja hata mmoja kuingiza simu kwangu. Nilikuwa naishia kushindia jojo na maji ili kuficha njaa, huku nikiona wenzangu wakipata dili za maana.



from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/WRwMolY

No comments