TRA SHINYANGA YAANDAA FUTARI MAALUM KWA WATEJA NA WANANCHI
Mamlaka ya Mapato Tanzania, Tanzania Revenue Authority (TRA) Mkoa wa Shinyanga imeandaa futari maalum kwa wateja wake pamoja na wananchi wa mkoa huo, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mahusiano na kutoa elimu kuhusu masuala ya kodi.
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/mfpo1eR























































































No comments