
Kutoka Shinyanga (Shy Town), Kijana maarufu MANOMA ambaye hutumia slogan yake ya kipekee "First Icon wa Shy Town", amewaletea video mpya yenye ubora wa hali ya juu. Hii ni kazi iliyojaa ubunifu, nguvu na burudani inayodhihirisha uwezo wake wa kuendelea kuiwakilisha Shy Town kupitia muziki.
Tazama video kamili, acha maoni yako, like, share na subscribe ili uendelee kuwa sehemu ya safari ya MANOMA ACTION.
🎥 Bonyeza hapa chini kutazama video kamili: 👇

from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/w9iXSLO
Tags
News
