TANESCO WATOA TAHADHALI KUELEKEA MVUA ZA EL NINO

 

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawakumbusha wananchi kuchukua tahadhari ya matumizi salama ya umeme wakati wa mvua za El Niño zinazotarajiwa kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini.

Ukiona hitilafu ya umeme, toa taarifa kwa kupiga namba 180, kupitia mitandao yetu ya kijamii au makundi rasmi ya TANESCO ya WhatsApp yaliyopo kote nchini.

Umeme Salama, Usisubiri Athari, Chukua Tahadhari.



Post a Comment

Previous Post Next Post