VIDEO: Shonza Atoa maagizo haya Kwa TFF, Adai sio ya Dar Peke yake


Naibu Waziri wa Habari, Tamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza ameliagiza Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kupeleka ligi mbalimbali za kitaifa na  kimataifa mikoani, ikiwemo Jiji la Mwanza ambalo lina viwanja vizuri vilivyokidhi vigezo siyo Dar es Salaam pekee.

Kwa Upande wake Naibu Meya wa Jiji la Mwanza Bhiku Kotecha, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nyamagana  amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tano Dk.John Magufuli aliagiza kutolewa kwa adhabu ya kifungo cha miaka mitano jela kwa mtu yeyote atakayejihusisha kubadilisha matumizi na uuzwaji wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Nyamagana, kwa kisingizio cha ujenzi wa Reli.



TAZAMA FULL VDEO HAPA CHINI........USISAHAU KUSUBSCRIBE............


from MUUNGWANA BLOG http://bit.ly/2sgI0G3

Post a Comment

Previous Post Next Post