BALOZI WA RWANDA NCHINI TANZANIA ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA MSIBA WA RUGE MUTAHABA.
Balozi wa Rwanda nchini Tanzania ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mmoja wa waasisi na mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba.

No comments