BEI ZA BIDHAA MBALIMBALI KATIKA SOKO LA MAKUMBUSHO JIJINI DAR ES SALAAM
Bei za bidhaa mbalimbali katika soko la Makumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam,kamazinavyo onekana katika picha.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Bei ya mahindi kilomoja ni shilingi 1000,uliezi 1700.
Wafanya biashara wa ndizi katika soko la Mbakumbusho wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakisubili wateja wanaotoka sehemu mbalimbali ambapo mkungu wa ndini ni shilingi 15000-25000.
Lango kuu la kuingilia katika soko la Makumbusho lilipo wilaya ya Kinondoni jijini Da es Salaam.
from MICHUZI BLOG
No comments