BREAKING NEWZZZ: MKURUGENZI WA CLOUDS FM RUGE MUTAHABA AFARIKI DUNIA
Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba amefariki dunia leo nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.
Kufuatia msiba huo Rais Dkt John Pombe Magufuli ametoa pole kwa wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki.
Tutaendelea kuwafahamisha kinachojiri katika msiba huu mkubwa wa Taifa, hususan katika tasnia za habari na burudani, bila kusahau kipengele muhimu cha hamasa cha kuhamasisha vijana kuchangamkia fursa ili kujikwamua kimaisha kilichoasisiwa na Ruge.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
AMIN.
from MICHUZI BLOG
No comments