EXCULUSIVE: KOCHA HANS AFUNGUKA KUFUKUZWA AZAM, AZITAJA SIMBA NA YANGA - VIDEO
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Azam FC Hans Van Der Plujm ambaye amefukuzwa juzi baada ya Azam kufungwa na simba mabao 3-1 mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Ijuma iliyopita.
Azam imekua na matokeo mabaya ya hivi karibuni na kupelekea kumtimua kocha wao huyo ambaye alisajiliwa msimu wa mwaka huu ambapo aliitumikia Azam FC kwa muda mchache.
from SALEH JEMBE
No comments