Picha: Aliyehifadhiwa Mochwara kwa miezi 8 Mbeya kuzikwa leo
Hatimaye mwili wa kijana Frank Kipange uliokaa nyumba ya kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa Mbeya kwa zaidi ya miezi nane umechukuliwa na ndugu kwa ajili ya mazishi leo February 26, 2019. Familia ilitaka uchunguzi wa kifo chake lakini baadaye mahakama iliamuru uzikwe.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2GMnt5t
No comments