Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Daktari Bingwa wa upasuaji wa ubongo na mishipa ya fahamu Prof. Zhao Yuanil Ikulu Jijini Dar es salaam.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2GL4kkw
Rais Magufuli akutana na Bingwa wa Upasuaji wa Ubongo kutoka China
Reviewed by Tanzania Yetu
on
February 26, 2019
Rating: 5
No comments