UWT IRINGA ILIVYOADHIMISHA MIAKA 42 YA KUZALIWA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
UWT mkoa wa Iringa imeadhimisha miaka 42 ya kuzaliwa chama Cha Mapinduzi ccm kwa kushiriki shuguhuli za kijamii pamoja na wananchi.
Katika maadhimisho yaliyofanyika katika Kijiji Cha Tanangozi kata ya Msekeha halmashauri ya Iringa vijiji,UWT ilikabidhi mifuko 40 ya Saruji katika Shule ya sekondari Tanangozi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa,walipanda miti 30 ya Parachichi katika shamba la shule na kufyatua tofari kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa unaoendelea.
Mgeni rasm katika maadhimisho hayo alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Dkt.Abel Nyamahanga.
from MICHUZI BLOG
No comments