VIDEO: KOCHA YANGA AMWAGA SIFA KMC
Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi zahera amesema kuwa hesabu zake zilikua ni kupata ushindi dhidi ya KMC juzi kama ambavyo wamepata japokuwa kuna baadhi ya makosa wamefanya kama timu.
Zahera amesema walikuwa wanashambuliwa sana na KMC na walikua wapo vizuri katika kikosi chao.
Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kuendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
from SALEH JEMBE
No comments