Waandamana kupinga kukatwa kwa Internet
Mjini Moscow maandamano ya kupinga kufungwa kwa huduma ya "Internet" yaendelea baada ya taarifa rasmi kutolewa na utawala.
Maandamano yamefanyika katika jiji la Moscow kupinga maamuzi ya kuzuia matumizi ya internet ambapo waandamanaji wamekemea utawala wa Rais Vladimir Putin.
Jeshi la Polisi limewakamata watu 28 katika maandamano hayo na kuwanyang'anya mabango waliokuwa nayo yakiwa na jumbe za kukemea utawala wa Putin na kuzuia matumizi ya mtandao.
Wizara ya mambo ya ndani ya Urusi imesema kuwa watu 6500 ndio walioshiriki katika maandamano huku waliotolea wito maandamano hayo wakifahamisha kuwa ni watu zaidi ya 15000 ndio walioshiriki katika maandamano.
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2VQUIIr

No comments